Ufafanuzi wa mshono katika Kiswahili

mshono

nominoPlural mishono

  • 1

    mahali paliposhonwa.

    ‘Mshono wa operesheni’

  • 2

    mtindo wa ushonaji nguo.

Matamshi

mshono

/m∫ɔnɔ/