Ufafanuzi wa mshtakiwa katika Kiswahili

mshtakiwa

nomino

  • 1

    mtu anayefikishwa mahakamani kwa kutuhumiwa kufanya kosa.

    mdaiwa

Matamshi

mshtakiwa

/m‚ąętakiwa/