Ufafanuzi msingi wa mshuko katika Kiswahili

: mshuko1mshuko2mshuko3

mshuko1

nomino

  • 1

    tendo la kushuka kutoka kwenye jambo fulani k.v. sala.

    ‘Mshuko wa Ijumaa’
    ‘Mshuko wa Magharibi’

Matamshi

mshuko

/m∫ukɔ/

Ufafanuzi msingi wa mshuko katika Kiswahili

: mshuko1mshuko2mshuko3

mshuko2

nomino

  • 1

    hali ya kupungua kwa bei.

Matamshi

mshuko

/m∫ukɔ/

Ufafanuzi msingi wa mshuko katika Kiswahili

: mshuko1mshuko2mshuko3

mshuko3

nomino

Matamshi

mshuko

/m∫ukɔ/