Ufafanuzi wa mshumbi katika Kiswahili

mshumbi

nominoPlural mishumbi

  • 1

    mlima mdogo wa kitu au fungu la k.v. nafaka au chakula, kilichotiwa ndani ya chombo.

    ‘Amenitilia mshumbi wa wali’

Matamshi

mshumbi

/m∫umbi/