Ufafanuzi wa mshushio katika Kiswahili

mshushio

nominoPlural mishushio

  • 1

    pumzi azitoazo mtu aliyechoka sana, mwenye majonzi makubwa au anayefikiria jambo zito.

Matamshi

mshushio

/m∫u∫ijɔ/