Ufafanuzi wa msichana katika Kiswahili

msichana

nominoPlural wasichana

  • 1

    kijana mwanamke aliyebaleghe lakini bado hajaolewa au kuzaa.

    mwanamwali

  • 2

    mtoto wa kike.

    binti, gashi, banati

Matamshi

msichana

/msitʃana/