Ufafanuzi wa msiga katika Kiswahili

msiga

nominoPlural misiga

  • 1

    mti wenye maua meupe ambao matawi yake hutumika kuwa ni mswaki.

Matamshi

msiga

/msiga/