Ufafanuzi wa msikilizano katika Kiswahili

msikilizano

nomino

  • 1

    hali ya utulivu inayowezesha wote waliopo mahali kusikia na kuelewana.

Matamshi

msikilizano

/msikilizanÉ”/