Ufafanuzi wa msikita katika Kiswahili

msikita

nominoPlural misikita

  • 1

    nyama kavu iliyokaushwa kwa jua au kwa moto.

    mtanda

Matamshi

msikita

/msikita/