Ufafanuzi msingi wa msimbo katika Kiswahili

: msimbo1msimbo2msimbo3msimbo4

msimbo1

nomino

 • 1

  jina la kupanga ili kuficha asili.

  lakabu

Matamshi

msimbo

/msimbɔ/

Ufafanuzi msingi wa msimbo katika Kiswahili

: msimbo1msimbo2msimbo3msimbo4

msimbo2

nomino

 • 1

  alama inayotumiwa kuwakilisha dhana fulani.

  ‘‘kt’ ni msimbo unaotumiwa katika kamusi hii kuwakilisha neno ‘kitenzi’’

Matamshi

msimbo

/msimbɔ/

Ufafanuzi msingi wa msimbo katika Kiswahili

: msimbo1msimbo2msimbo3msimbo4

msimbo3

nomino

 • 1

  tabia mbaya.

Matamshi

msimbo

/msimbɔ/

Ufafanuzi msingi wa msimbo katika Kiswahili

: msimbo1msimbo2msimbo3msimbo4

msimbo4

nomino

 • 1

  mtu mwenye tabia mbaya.

  mwovu

Matamshi

msimbo

/msimbɔ/