Ufafanuzi wa msimulizi katika Kiswahili

msimulizi

nominoPlural wasimulizi

  • 1

    mtu mwenye tabia au kazi ya kueleza mambo kwa mfululizo fulanimsimulizi wa hadithi.

  • 2

    ‘Msimulizi wa habari’
    mtambaji

Matamshi

msimulizi

/msimulizi/