Ufafanuzi wa msindusi katika Kiswahili

msindusi

nominoPlural misindusi

  • 1

    mti ambao magome yake hupondwa na kufanywa dawa ya kuponya uvimbe au jipu.

Matamshi

msindusi

/msindusi/