Ufafanuzi wa msinga katika Kiswahili

msinga

nominoPlural misinga

  • 1

    mti mdogo wenye shina laini ambao mizizi na magome yake ni dawa ya maumivu ya kifua.

Matamshi

msinga

/msinga/