Ufafanuzi wa msinziaji katika Kiswahili

msinziaji

nominoPlural wasinziaji

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusinzia.

Matamshi

msinziaji

/msinzijaʄi/