Ufafanuzi wa msio katika Kiswahili

msio

nomino

  • 1

    uto unaotokana na kusagwa kwa sandali na viungo vingine katika jiwe.

    ‘Jiwe la msio’

Matamshi

msio

/msiÉ”/