Ufafanuzi msingi wa msira katika Kiswahili

: msira1msira2

msira1

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kususia au kuchukia mambo.

Matamshi

msira

/msira/

Ufafanuzi msingi wa msira katika Kiswahili

: msira1msira2

msira2

nomino

  • 1

    mtu asiyependa kutoa chake.

    bahili

Matamshi

msira

/msira/