Ufafanuzi msingi wa msiri katika Kiswahili

: msiri1msiri2

msiri1

nominoPlural wasiri

 • 1

  mtu anayehifadhi siri.

 • 2

  mtu anayeweza kutumainiwa, hasa kwa ufichaji siri.

  bui, rafiki, sahibu, mwandani

Matamshi

msiri

/msiri/

Ufafanuzi msingi wa msiri katika Kiswahili

: msiri1msiri2

msiri2

nominoPlural wasiri

 • 1

  mtu afanyaye mambo polepole au mwenye tabia ya kukawiakawia; mtu mwenye ajizi.

Matamshi

msiri

/msiri/