Ufafanuzi wa msirisha katika Kiswahili

msirisha

nominoPlural misirisha

  • 1

    mti unaotumiwa kutengenezea rangi nyeusi.

    mdaa, msizi

Matamshi

msirisha

/msiri∫a/