Ufafanuzi wa msobemsobe katika Kiswahili

msobemsobe

kielezi

  • 1

    bila ya mpango.

    ovyoovyo

  • 2

    bila hiari.

Matamshi

msobemsobe

/msɔbɛmsɔbɛ/