Ufafanuzi wa msogezo katika Kiswahili

msogezo

nomino

  • 1

    hali ya kuondoa kitu mahali pa awali kwa kukisukuma kidogo.

Matamshi

msogezo

/msɔgɛzɔ/