Ufafanuzi wa msomaji katika Kiswahili

msomaji

nominoPlural wasomaji

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kupenda kusoma.

  • 2

    mtu afanyaye kazi ya kusoma na kuhakiki au kusahihisha maandiko.

Matamshi

msomaji

/msɔmaʄi/