Ufafanuzi wa msomeshaji katika Kiswahili

msomeshaji

nominoPlural wasomeshaji

  • 1

    mtu anayefunza watu kusoma; mtu anayetoa elimu kwa wengine.

Matamshi

msomeshaji

/msɔmɛ∫aʄi/