Ufafanuzi msingi wa msonge katika Kiswahili

: msonge1msonge2

msonge1

nominoPlural misonge

  • 1

    nyumba ya mviringo yenye paa lenye umbo la pia.

Matamshi

msonge

/msɔngɛ/

Ufafanuzi msingi wa msonge katika Kiswahili

: msonge1msonge2

msonge2

nominoPlural misonge

  • 1

    uhusiano ambapo wachache walio juu hufaidika kuliko wengi chini yao.

    ‘Mfumo msonge wa elimu’

Matamshi

msonge

/msɔngɛ/