Ufafanuzi wa mstaafu katika Kiswahili

mstaafu

nominoPlural wastaafu

  • 1

    mtu aliyeacha kazi ya ajira baada ya kutimiza umri wa kisheria wa kuacha kazi.

Matamshi

mstaafu

/msta:fu/