Ufafanuzi wa mstahiki katika Kiswahili

mstahiki

nominoPlural wastahiki

  • 1

    mtu mwenye haki ya kupata kitu au heshima fulani.

    ‘Mstahiki Meya’

Asili

Kar

Matamshi

mstahiki

/mstahiki/