Ufafanuzi wa msuani katika Kiswahili

msuani

nominoPlural misuani

Kidini
  • 1

    Kidini
    sehemu ya kichwani ya sanda ya mwanamke ambayo imekaa kama boshori.

Asili

Kar

Matamshi

msuani

/msuwani/