Ufafanuzi msingi wa msuka katika Kiswahili

: msuka1msuka2

msuka1

nominoPlural misuka

  • 1

    sehemu ya jembe iliyochongoka ambayo hutiwa kwenye tundu la mpini.

Matamshi

msuka

/msuka/

Ufafanuzi msingi wa msuka katika Kiswahili

: msuka1msuka2

msuka2

nominoPlural misuka

  • 1

    mmea ambao majani yake huchanganywa na majani mengine pamoja na maji na hutumika kuogeshea watoto wachanga ili kupata afya njema.

Matamshi

msuka

/msuka/