Main definitions of msuko in Swahili

: msuko1msuko2

msuko1

noun

 • 1

  namna ya kusuka k.v. nywele au mkeka; mtindo au aina ya usukaji.

  msongo

Pronunciation

msuko

/msukÉ”/

Main definitions of msuko in Swahili

: msuko1msuko2

msuko2

noun

Literature
 • 1

  ploti katika kazi za fasihi k.v. riwaya.

 • 2

  aina ya bahari ya ushairi.

Pronunciation

msuko

/msukÉ”/