Ufafanuzi msingi wa msuli katika Kiswahili

: msuli1msuli2

msuli1

nominoPlural misuli

  • 1

    mkusanyiko wa nyuzi za kano au kano za nyama ndani ya mwili wa kiumbe na ndio huwezesha mwili kujisogeza.

    tafu

Asili

Kng

Matamshi

msuli

/msuli/

Ufafanuzi msingi wa msuli katika Kiswahili

: msuli1msuli2

msuli2

nominoPlural misuli

  • 1

    vazi kama shuka livaliwalo na wanaume kwa kulifunga kiunoni.

Asili

Kng

Matamshi

msuli

/msuli/