Ufafanuzi wa msumeno katika Kiswahili

msumeno

nominoPlural misumeno

  • 1

    kifaa chenye meno ya kukerezea kinachotumiwa na seremala kupasulia au kukatia mbao au miti.

    ‘Msumeno wa mbao’
    ‘Msumeno wa chuma’

Matamshi

msumeno

/msumɛnɔ/