Ufafanuzi wa msungo katika Kiswahili

msungo

nomino

  • 1

    mtu ambaye hakupata mafunzo ya unyagoni au jandoni.

Matamshi

msungo

/msungÉ”/