Ufafanuzi msingi wa msunguti katika Kiswahili

: msunguti1msunguti2

msunguti1

nominoPlural misunguti

  • 1

    mti wenye majimaji kama mgomba ambao mizizi na utomvu wake hutengenezwa sumu inayotiwa kwenye vyembe vya mishale.

Matamshi

msunguti

/msunguti/

Ufafanuzi msingi wa msunguti katika Kiswahili

: msunguti1msunguti2

msunguti2

kivumishi

  • 1

    ‘Tumbaku msunguti’
    kali

Matamshi

msunguti

/msunguti/