Ufafanuzi wa msununu katika Kiswahili

msununu

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kununa kila mara.

Matamshi

msununu

/msununu/