Ufafanuzi msingi wa msuuzo katika Kiswahili

: msuuzo1msuuzo2

msuuzo1

nominoPlural misuuzo

  • 1

    mkono wa kushikia kwenye jiwe la kusagia.

Matamshi

msuuzo

/msuuzɔ/

Ufafanuzi msingi wa msuuzo katika Kiswahili

: msuuzo1msuuzo2

msuuzo2

nominoPlural misuuzo

  • 1

    josho la mwisho la maji safi la kusafishia au kufulia kitu.

Matamshi

msuuzo

/msuuzɔ/