Ufafanuzi msingi wa Mswahili katika Kiswahili

: Mswahili1Mswahili2

Mswahili1

nominoPlural waswahili

 • 1

  mtu asiyekuwa na lugha nyingine yoyote ya jadi yake isipokuwa Kiswahili.

  mjomba

 • 2

  mtu anayeishi mjini ambaye lugha yake ya mwanzo ni Kiswahili.

 • 3

  mwenyeji wa mwambao wa pwani ya Afrika Mashariki na visiwa vilivyo karibu yake.

Asili

Kar

Matamshi

Mswahili

/mswahili/

Ufafanuzi msingi wa Mswahili katika Kiswahili

: Mswahili1Mswahili2

Mswahili2

nominoPlural waswahili

 • 1

  mjanja

Matamshi

Mswahili

/mswahili/