Ufafanuzi wa mswaki katika Kiswahili

mswaki

nominoPlural miswaki

 • 1

  kipande chochote cha kijiti kibichi kinachotumiwa kusugulia meno.

 • 2

  brashi ndogo yenye mpini mrefu inayotumika kusugulia meno.

 • 3

  mti wenye rangi ya kijivu ambao vitawi vyake hutumika kutengenezea mswaki wa kusugulia meno.

 • 4

  kitu rahisi kufanya.

  ‘Hesabu hizi ni mswaki tu’

Asili

Kar

Matamshi

mswaki

/mswaki/