Ufafanuzi wa mtaalamu katika Kiswahili

mtaalamu

nominoPlural wataalamu

  • 1

    mtu mwenye elimu, ustadi au ujuzi wa fani au jambo fulani maalumu.

    fundi, ulamaa

Asili

Kar

Matamshi

mtaalamu

/mta:lamu/