Ufafanuzi wa mtabiri katika Kiswahili

mtabiri

nomino

  • 1

    mtu anayebashiri mambo yajayo au kutafsiri ndoto.

    mbashiri

Asili

Kar

Matamshi

mtabiri

/mtabiri/