Ufafanuzi wa mtafara katika Kiswahili

mtafara

nomino

  • 1

    mkanda wa kufungia matandiko ya farasi au punda hadi mkiani.

Matamshi

mtafara

/mtafara/