Ufafanuzi wa mtafaruku katika Kiswahili

mtafaruku

nomino

  • 1

    ghasia, wasiwasi na kutokuelewana.

    ghasia

Asili

Kar

Matamshi

mtafaruku

/mtafaruku/