Ufafanuzi wa mtagusano katika Kiswahili

mtagusano

nominoPlural mitagusano

  • 1

    hali ya vitu viwili kuingiliana.

Matamshi

mtagusano

/mtagusanɔ/