Ufafanuzi wa mtaka katika Kiswahili

mtaka

nominoPlural wataka

 • 1

  mtu anayehitaji kitu fulani.

  methali ‘Mtaka yote hukosa yote’
  methali ‘Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba’
  methali ‘Mtaka unda haneni’
  methali ‘Mtaka pia hukosa pia’
  methali ‘Mtaka cha mvunguni sharti ainame’
  mtakaji

Matamshi

mtaka

/mtaka/