Ufafanuzi wa mtakadamu katika Kiswahili

mtakadamu

nominoPlural watakadamu

  • 1

    mtu anayetangulia kuanza jambo.

    mtangulizi

Asili

Kar

Matamshi

mtakadamu

/mtakadamu/