Ufafanuzi wa mtakaso katika Kiswahili

mtakaso

nominoPlural mitakaso

  • 1

    tendo la kufanya kuwa safi kabisa.

Asili

Kar

Matamshi

mtakaso

/mtakasɔ/