Ufafanuzi wa mtakatifu katika Kiswahili

mtakatifu

nominoPlural watakatifu

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu anayepewa cheo cha utakatifu na kanisa kutokana na matendo mazuri alipokuwa hai duniani.

Asili

Kar

Matamshi

mtakatifu

/mtakatifu/