Ufafanuzi wa mtalaka katika Kiswahili

mtalaka

nominoPlural watalaka

  • 1

    mume au mke aliyeachana na mwenziwe.

    ‘Asha ni mtalaka wa Ali’

Asili

Kar

Matamshi

mtalaka

/mtalaka/