Ufafanuzi wa mtalaleshi katika Kiswahili

mtalaleshi

nominoPlural watalaleshi

 • 1

  mtu mwenye tabia ya kueneza habari za wenziwe.

  mbeya

 • 2

  malaya, kahaba

 • 3

  kuwadi, gawadi, kijumbe, gambera, kibirikizi

Matamshi

mtalaleshi

/mtalalɛ∫i/