Ufafanuzi wa mtalawanda katika Kiswahili

mtalawanda, tarawanda, mtarawanda

nomino

  • 1

    kiatu chenye soli ya mbao; kiatu kama kubadhi kilichotengenezwa kwa mti.

Matamshi

mtalawanda

/mtalawanda/