Ufafanuzi wa mtalii katika Kiswahili

mtalii

nomino

  • 1

    mtu anayetembelea nchi kwa ajili ya starehe na kuona mazingira.

Matamshi

mtalii

/mtali:/