Ufafanuzi wa mtama katika Kiswahili

mtama

nominoPlural mitama

  • 1

    mmea wenye bua refu na majani marefu unaozaa mashuke yanayotoa nafaka ndogondogo mfano wa uwele au ulezi.

  • 2

    punje za mtama.

Matamshi

mtama

/mtama/